Posts

Je unajua vyoo vya kukaa vina madhara kiafya kwa watumiaji

Image
Nyumba haiwezi kuwa kamili bila kuwa na huduma hiyo ya choo, Hata hivyo, pamoja na umuhimu wa choo, lakini si kila nyumba iliyo na choo au hata zile ambazo zina huduma hiyo, basi vyoo ni vibovu, havina hadhi. Zipo aina mbalimbali za vyoo kwa matumizi ya binadamu katika maisha yake ya kawaida. Vyoo vina matumizi mengi ingawa  bado  watu wengi  hasa katika nchi maskini na zinazoendelea ikiwamo Afrika wanatumia choo cha kuchuchumaa wakati wa kujisaidia, lakini mijini na katika nchi zilizoendelea, wao hutumia vyoo vya kukaa. Nyumba nyingi mijini na ofisi mbalimbali zinazojengwa hivi sasa, huwekewa vyoo vya kukaa. Hata zile za zamani zinakarabatiwa na kubadilishwa kwa kuwekewa hivi ambavyo vinaonekana vya ‘kisasa’. Mgunduzi wa vyoo vya aina hii, Thomas Crapper anasema kwa mtazamo wake aliona kukaa wakati wa kujisaidia ni utambulisho wa ustaarabu na maendeleo. Hata hivyo, madaktari wanapingana naye wakisema kujisaidia katika vyoo vya kukaa kuna madhara kiafya kwa kuwa mkao hu...

DARASA HURU:TENDA WEMA USIACHE.

Image
Usiku Mmoja Kabla Muuza Duka Hajafunga Duka Lake Aliingia Mbwa Dukani Akiwa Na Kibegi Mdomoni Ndani Ya Kibegi Kulikuwa Na Pesa Kiasi Na Orodha Ya Vi tu Vilivyotakiwa Kununuliwa. Muuza Duka Alichukua Pesa Ile Kisha Akaweka Vitu Vilivyoorodheshwa Ktk Kibegi Hicho Mara Hii Mbwa Bila Kuchelewa Alichukua Kibegi Chake Na Kuanza Safari. Muuza Duka Alishangazwa Sana Na Tukio Lile Na Akaamua Kumfuatilia Mbwa Yule Kwa Nyuma Ili Kujua Ni Nani Hasa Miliki Wake. Baada Ya Kufika Kituo Cha Mabasi Mbwa Alisimama Kwa Dakika Chache Na Ndipo Lilipotokeza Bus Na Kusimama Mbwa Akaingia Ndani Ya Bus Na Safari Ikaanza Akiwa Ndani Ya Bus Alimsogelea Kondakta Na Kuinua Kichwa Ili Kumuonesha Mkanda Wa Shingoni Ambao Ulikuwa Na Nauri Bila Kusahau Anuani Ya Mahali Alipotakiwa Kushuka. Baada Ya Mwendo Kidogo Mbwa Alienda Mpaka Mbele Kwa Dereva Na Kuchezesha Mkia Wake Kuashiria Kuwa Alitakiwa Kutelemkia Eneo Lile, Hii Ni Kutokana Na Kondakta Kuto Kuwa Makini Na Maelekezo Ya Anuani. Ndipo Dereva Aliposimami...

Cork aitwa kuchezea timu ya taifa England

Image
Kiungo wa kati wa Burnley Jack Cork ameitwa kujiunga na kikosi cha England kinachojiandaa kwa mechi za kirafiki dhidi ya Ujerumani na Brazil. Raheem Sterling, Fabian Delph na Jordan Henderson walijiondoa kutoka kwenye kikosi cha Gareth Southgate Jumanne baada ya wachezaji watatu wa Tottenham Harry Kane, Dele Alli na Harry Winks pia kujiondoa. Cork, 28, bado hajachezea timu ya taifa lake mechi hata moja. Alijiunga na Burnley kutoka Swansea mwezi Julai na amecheza kila dakika mechi ambazo Burnley wamecheza Ligi ya Premia msimu huu kufikia sasa. "Nina furaha sana, nafurahi sana," amesema. Cork alikuwa amewakilisha England katika vikosi vya wachezaji wa chini ya miaka 16 na chini ya miaka 21 na pia aliwakilisha Uingereza katika Michezo ya Olimpiki ya London akichezea Southampton wakati huo. Haki miliki ya picha Image caption Harry Kane na Harry Winks waliumia mechi ya Jumapili ya Spurs dhidi ya Crystal Palace Beki wa Chelsea Gary Cahill pia amejiunga na kikosi cha Eng...

Kondoo si wapumbavu sana, utafiti wabaini

Image
Kondoo wamedhihirisha kwamba wana uwezo wa kutambua na kutofautisha nyuso za watu wanaowafahamu, kwa mujibu wa utafiti. Watafiti katika Chuo Kikuu cha Cambridge waliweza kuwafundisha kondoo kutambua nyuso za watu mashuhuri wakiwemo waigizaji Jake Gyllenhaal na Emma Watson, rais wa zamani wa Marekani Barack Obama na mtangazaji wa BBC Fiona Bruce. Baada ya mafunzo, kondoo walionekana kuchagua picha za nyuso walizozifahamu awali mara nyingi. Hii inadhihirisha kwamba kondoo wana uwezo wa kutambua na kutofautisha nyuso za watu sawa na wanyama wa familia ya binadamu, tumbili na sokwe. Utafiti wa awali ulikuwa umedhihirisha kwamba kondoo huweza kutambua na kutofautisha nyuso za kondoo wengine na pia watu wanaowatunza. "Tulichofanya ni kuuliza iwapo kondoo wanaweza kumtambua mtu kutoka kwenye picha," mtafiti mkuu Prof Jenny Morton amesema. "Tuliangazia kuhusu iwapo ni kweli au la wanyama wanaweza kufasiri kitu ambacho kina upana na urefu (2D) pekee kwamba ni mtu ...

Donald Trump warns Kim Jong-Un directly

Image
US President Donald Trump has warned a North Korean leader Kim Jong in a speech in the South Korean parliament. '' Usitudharau, do not try us, 'he said, accusing the situation in North Korea. Mr. Trump spoke directly to President Kim saying that '' 'spare weapons do not make you safe but keep you in danger' '. The US leader is on a two-day tour in South Korea on an Asian tour. In his speech, he said that while North Korea saw tolerance, there was now a new rule in the United States Mr Trump also wanted the world especially China and Russia to put pressure on Pyongyang to suspend its nuclear weapons production. The world can not tolerate the dangers caused by a nation dominated by an untrustworthy rule that threatens nuclear weapons. All responsible nations should be united to eliminate the brutal regime of North Korea to ensure that no one supports, get any help or even acceptance, he said.

SAIKOLOJIA : Je, unazijua mbinu za kushawishi?

Kwa ufupi Au unaweza kushawishi katika mambo makubwa kama vile kuwashawishi wafanyakazi au wafanyabiashara wenzako muwe mkichanga fedha kila mwezi na kumpatia mmoja wenu kwa zamu ili kusaidiana kupunguza makali ya maisha. Je katika maisha yako ya kila siku huwa unafanikiwa kumshawishi mtu kufanya jambo fulani? Linaweza kuwa jambo dogo tu kama vile kumshawishi mtu akuazime kalamu yake uandikie kwa sababu ni nzuri. Au unaweza kushawishi katika mambo makubwa kama vile kuwashawishi wafanyakazi au wafanyabiashara wenzako muwe mkichanga fedha kila mwezi na kumpatia mmoja wenu kwa zamu ili kusaidiana kupunguza makali ya maisha. Labda nikuulize swali kwa upande mwingine. Je mara ngapi watu wengine huwa wanakushawishi wewe kufanya jambo fulani? Je wauzaji wanaotembea barabarani au nyumba hadi nyumba wamewahi kukushawishi kununua bidhaa zao? Je marafiki au ndugu zako wamewahi kukushauri kuacha tabia fulani kama vile kunywa pombe au kukushawishi utende jambo jipya kwako kama vile kuji...

Wekeza Kwa Shilingi Laki Moja, Upate Zaidi Ya Milioni Moja Na Nusu Ndani Ya Siku 90

Image
Leo nataka tuangalie kilimo cha matikiti kibiashara kwa mtaji wa shilingi laki moja tu(100,000/=). Nimeona niandae hili somo kwa kuwa watu wengi hulalamika kuhusu mtaji lakini kwa asilimia kubwa watu humililiki zaidi ya hii pesa laki moja, lakini bado utamkuta analalamika kuhusu mtaji wa kuanzia. Leo tutaangalia mchanganuo wa shilingi laki moja ili ikuletee milioni moja na nusu(1,500,000/=) kwa makadilio ya chini kabisa hayo ni baada ya siku 75-90 na unaweza pata zaidi ya hapo, ikiwa utaweka juhudi nyingi katika kilimo ambacho unaenda kufanya. Hapa tutaangalia mchanganuo kwa kutumia mbegu bora ya matikiti aina ya PATO F1. Na eneo linalohitajika ni chini ya robo ekari (yaani nusu ya robo ekari ) ila katika laki moja sijaweka gharama ya shamba ambayo ni nusu ya robo ekari yaani mita 500 za mraba. Maandalizi ya shamba. Andaa shamba lenye ukubwa wa mita 500 za mraba( 50m×10m). Baada ya kuliandaa shamba lako hakikisha una mbolea ya kuku ya kutosha mashimo 500 tu na uhakikishe hiyo mbolea...