Makosa wanayofanya wanawake katika mahusiano ya kimapenzi


Zipo sababu mbalimbali ambazo huchangia mahusiano mengi ya kimapenzi kufa, na miongoni mwa tabia hizo ni pamoja na zile tabia ambazo wanawake hao wamekuwa wakiziendekeza na miongoni mwa tabia hizo ni kama ifutavyo;

Kauli mbaya kwa mmewe.
 Unakuta mwanamke anaropoka mbele ya mme wake utafikiri kafingiwa mota mdomoni.

Uchafu. 
Unakuta baadhi ya wanawake akioga usiku mpaka usiku mwingine. Nguo ya ngani ukiangalia utafikiri mafundi wamepiga plasta ukuta.

Kukataa kufanya tendo la ndoa wakisingizia wamechoka.

Dharau.
Kuto mueshimu mwanaume na kuona hana kitu kwake wala hamsikilizi kwa lolote na maamuzi yandani hupanga yeyey akjisema mumwe wala hata hajari

Kuwa na michepuko ya wanaume wa nje
.
Pesa. 
Wanawake wakipata pesa uona wanaume wao si lolote.

Elimu .
 Mwanamke akisoma na kumzidi mmewe basi anaona hata tendo la ndoa kufanyika maamuzi ni yake mwenyewe. Upatikanaji wa elimu kwa mwanamke umesababisha mahusiano mengi kufa.

Madaraka
Ukifanya utafiti mdogo tu utakuta wanawake walio wengi wenye madaraka hawapo kwenye ndoa.  Wanaona kupata madaraka basi na masuala ya kimapenzi hayana nafasi tena.


UJEMBE KWAKO MWANAMKE MJARI MMEO HATA KAMA HANA ELIMU HUYO NDIE ULIE MCHAGUA KUISHI NAE. 

Comments

Popular posts from this blog

SAIKOLOJIA : PATA KUFAHAMU MAKUNDI MANNE YA TABIA ZA BINADAMU.

Rapa B.o.B ataka kuthibitisha iwapo dunia ni duara

Kanuni za kuishi na Watu / Binadam Vizuri