ATHARI NA FAIDA ZA MAJINA KATIKA MAISHA YA BINADAMU

Majina yana umuhimu na athari kubwa katika maisha ya mwanadamu.
Ukimchagulia jina baya mtoto wako jina hilo linaweza kumfanya awe
• Mwehu
• Muhuni
• Mlevi
• Mpenda starehe
• Mwizi na kadhalika
Ukimchagulia mtoto wako jina nzuri linaweza kumfanya awe
• Mpole
• Mwenye heshima
• Mcha mungu
• Mwerevu
• Mbunifu
• Mtiifu
• Mwenye Imani na kadhalika

AINA YA MAJINA
Kuna aina nyingi ya majina mfano:-
• Jina la kuzaliwa
• Jina la kubandikwa au la utani
• Jina la umaarufu

JINA LA KUZALIWA
Ni jina ambalo mtu hupewa baada ya kuzaliwa watu wengi hutumia jina hili kwa maisha yake yote.
JINA LA UTANI
Ni jina ambalo mtu upewa kutokana na mambo yafuatayo:-
MAUMBILE
Ukiwa mfupi sana, mrefu sana, mwembamba sana, mnene sana au pia ukiwa mlemavu unaweza kubandikwa jina la utani.
TABIA
Ukiwa na tabia mbaya kama vile mwizi, mlevi, mzinzi, msengenyaji, kuomba omba pia watu wanaweza kukupa jina la utani.
Ukiwa na tabia nzuri sana kama vile mkarimu, mtoaji, muucha mungu watu pia wanaweza kukupa jina la utani.
KAZI
Kazi pia inaweza kubadilisha jina lako la kuzaliwa na kubandikwa jina la utani kama vile ualimu, udaktari, polisi au muziki.
Wanamuziki wengi hujulikana kwa majina yao ya kazi au ya makundi yao kuliko majina yao ya kuzaliwa mfano:-
• Diamond
• Jaydee
• TMK
• ABBA

JINA LA UMAARUFU
Wanasiasa wengi hujulikana katika majina yao ya umaarufu kuliko majina yao halisi mfano:-
JAKAYA MRISHO KIKWETE anajulikana kama KIKWETE

BENJAMIN MKAPA anajulikana kama MKAPA

DANIEL ARAP MOI anajulika kama MOI

MWAI KIBAKI anajulika kama KIBAKI

UHURU MUGAI KENYATTA anajulikana kama UHURU

RAILA OGINGA ODINGA anajulikana kama RAILA

MUSEVENI KAGUTA anajulikana kama MUSEVENI

Jina la umaarufu hutokana san asana kati ya majina yako halisi.

ATAHRI YA MAJINA
Jina ni muhimu sana katika maisha ya binaadamu. Hata katika Dini tunaambiwa tuchagulie watoto wetu majina mazuri ili wawe na tabia nzuri na maisha mazuri.
Jina liwe la kuzaliwa, la utani au la umaarufu hubadilisha maisha yako kabisa ukawa na tabia kutokana na hilo jina.

NAMNA YA KUJUA MAISHA YAKO KUPITIA JINA LAKO LA KUZALIWA
OMARY
Jina hili linatawaliwa na nyota zifuatazo:-
• Punda
• Simba
• Mapacha
TABIA ZAKE
• Ni mtu mwenye kujituma, si muoga, ana vipaji vingi, ni kiongozi, mbishani, mtiifu mara nyingi huwa hataki ushauri.
• Atakua ni mtu mwenye bahati ya utajiri kwa kufanya kazi, kurithi au kutokana na uhusiano wake wa mapenzi.
• Ni mtu mwenye kupenda kutoa amri, mwenye jitihada na mwenye kupenda kutoa.
• Ni mtu mwenye vipaji vingi, mfikiriaji mzuri, mwenye kupenda kujitegemea na mwenye kupenda sifa.
MAISHA YAKE
Maisha yake yatakua yenye bahati ya kupata pesa hasa akiwa msomi atasomea mambo yafuatayo:-
• Ufundi
• Mawasiliano
• Mfanyibiashara
• Wakili
• Utangazaji
• Mshauri
Katika kazi yeye ni rahisi kupanda daraja na kuwa mkurugenzi.
Atakua ni mtu mwenye busara na kuaminika hasa katika jamii au familia yake.
Pia ni mtu mkorofi, mwenye maneno maneno, mwenye fitna na mwenye kupenda wanawake.
Wengi wao watakua na watoto nje ya ndoa au kabla ya kufunga ndoa.
MATAMANIO YAKE (AMBITIONS) UZURI NA UBAYA WAKE
Mara nyingi mtu huyu anapenda sana akipata pesa ni kufanya biashara.
Akiwa na pesa nyingi lazima afanye biashara ya magari kama:-
• Kuuza na kununua magari
• Kukodisha (Texi, Tours, Daladala au Car hire)_lakini biashara hii hua haina mafanikio yoyote kwao hupata hasara.
• Biashara ambazo wao wenyewe binafsi huzisimamia ndio huwapa faida lakini biashar ambazo wao huwaachia watu kuwasimamia au kuwafungulia mara nyingi ni kupata hasara na kufulisika.
• Watu hawa hawatuli katika biashara moja hufanya biashara tafauti tafauti.

ABDALLAH
Jina hili linatawaliwa na nyota ya Punda.
TABIA YAKE
Atakua ni mtu mwenye kupenda maisha, starehe, wanawake, mtu wa kujiamini sana, mwenye kipaji cha ufundi.
Kiongozi wa kuzaliwa, ni mtu mbishani, mwenye kulazimisha mambo pia ni mtu mwaminifu lakini wakati mwingine huwa na tamaa na kutaka kila kitu apate yeye.
MAISHA YAKE
Maisha yake yatakua ni mtu wa anasa mwenye kupenda wanawake, atakua na mke Zaidi ya mmoja au kuoa na kuacha.
Ni mtu msiri sana, mwenye mapenzi ya dhati, mwenye kupenda kutoa suluhisho, mpatanishaji, mwenye kujiamini, mwenye uvumilivu lakini pia ni mtu mbishani.
MATAMANIO YAKE (AMBITIONS) UZURI NA UBAYA WAKE
Mara nyingi hupenda kujiweka kama mtu mwema lakini hua na mambo mengi anafanya kisiri siri bila watu kujua.
Ni mtu mwenye kupenda Sanaa, uchoraji, muziki na mavazi mazuri.
Ni mtu mjanja, mwenye kipaji cha kuzungumza, mwenye utu, mwenye huruma na kujali.
Lakini matatizo yake ya kimaisha hutokana na mahusiano mengi ya kimapenzi ambayo huwa nayo.

ABDULRAHMAN
Jina hili linatawaliwa na yota ya Punda
TABIA YAKE
Ni mtu mwenye kupenda maisha, starehe, wanawake, ufundi,mwenye kujiamini, mwenye vipaji vingi, wenye uongiozi wa kuzaliwa, mpatanishi, mwaminifu lakini ubaya wake mara nyingi hutaka kulazimisha mambo.
MAISHA YAKE
Maisha yake atakua ni mtu mwenye maendeleo, katika kazi ni rahisi kupanda daraja, mwenye huruma, msomi, mjanja, mwepesi kubadilika kutokana na hali aliyopo na mara nyingi mambo yake hayatabiriki anaweza kufanya chochote.
Ni mtu mpole sana, mkweli, rahisi kuelewana na watu wengi lakini wakati mwingine huwa na hasira na stress nyingi.
Pia ni mtu mwenye chuki na visasi mtu akimuudhi.
Anapenda sana kusifiwa, ni mtu mzuri pia hupenda kuwasifu marafiki zao au wapenzi wao.
Huwa na vipaji vingi na ni wabunifun sana na mara nyingi huwa na bahati ya kupata kazi nzuri nzuri.
MATAMANIO YAKE (AMBITIONS) UZURI NA UBAYA WAKE
katika maisha yake ni mtu mwenye mapenzi, huruma, mwaminifu, mwenye kupenda kutoa, ubaya wake ni jambo ndogo anaweza kulifanya kuwa kubwa (over-reactive)
si mtu muoga hupenda kufanya kazi kwa bidii.
Huwa mwangalifu sana katika shughuli zake na kuhakikisha amefikia malengo yake bila kuomba msaada.
Wakati mwingine huishi maisha ya wasiwasi.
Ni mtu mwenye haya na wasi wasi lakini huo wasi wasi huondoka akijua watu wanampenda na kumthamini anayoyafanya.
Katika maisha yake kazi zinazomfaa ni siasa, biashara, kazi za bank na estate agent.
Ki mapenzi ni mtu yuko serious, mwaminifu lakini ni too effusive

JOHN
Jina hili linatawaliwa na yota ya MBUZI

ni mtu mwenye upendo, huruma, mwenye kujali, mwaminfu, mwenye kupenda kutoa.
Wakati mwingine huchukulia mambo vibaya (over-reactive) na tabia zake hubadilika badilika (moody).
Ni mtu mwenye maneno matamu, busara, mwenye kufanya kazi kwa nguvu na hupenda ukweli.
Anapenda kuishi maisha ya starehe, kusafiri na kujali na kupamba nyumba zao.
Hapendi fujo na ni watu wenye haya.
Akikasirika anakua na tabia kama za wazimu(Lunatic behaviour)
Katika mapenzi huwa na mahaba mazito na hupenda kuwa na mpenzi wake wakati wote.
MATAMANIO YAKE (AMBITIONS) UZURI NA UBAYA WAKE
Katika maisha yake hupenda kufanya vitu kwa mpangilio na kujali muda.
Mara nyingi hujali sana pesa.
Hapendi kuishi na wasi wasi na hawapendi vitu kutumiwa ovyo ovyo.
Hupenda nyumba zao na hupenda kuzipamba vizuri
Hupenda kusifiwa na katika maisha muda mrefu hufanya kazi za kuajiriwa kutokana na vipaji zao.
Kazi zinazo wafaa ni ualimu, ufundi (technical designer), mwandishi au chemist.
Wao hupenda kupendwa na uthamini sana marafiki.
Hawapendi malumbano.
Ni watu rahisi kuelewana nao, wenye mapenzi, huruma, waaminifu na wenye kupenda kutoa.

LUCY
Jina hili linatawaliwa na yota ya SAMAKI
TABIA YAKE
Ni mtu mwenye kupenda maisha, starehe, wanawake, ufundi,mwenye kujiamini, mwenye vipaji vingi, wenye uongiozi wa kuzaliwa, mpatanishi, mwaminifu lakini ubaya wake mara nyingi hutaka kulazimisha mambo.
Mara nyingi mtu huyu anapenda sana akipata pesa ni kufanya biashara.
Akiwa na pesa nyingi lazima afanye biashara ya magari kama:-
• Kuuza na kununua magari
• Kukodisha (Texi, Tours, Daladala au Car hire)_lakini biashara hii hua haina mafanikio yoyote kwao hupata hasara.
• Biasha ambazo wao wenyewe binafsi huzisimamia ndio huwapa faida lakini biasha ambazo wao huwaachia watu kuwasimamia au kuwafungulia mara nyingi ni kupata hasara na kufulisika.
• Watu hawa hawatuli katika biashara moja hufanya biashara tafauti tafauti.
MAISHA YAKE
ni mtu mwenye upendo, huruma, mwenye kujali, mwaminfu, mwenye kupenda kutoa.
Wakati mwingine huchukulia mambo vibaya (over-reactive) na tabia zake hubadilika badilika (moody).
Ni mtu mwenye maneno matamu, busara, mwenye kufanya kazi kwa nguvu na hupenda ukweli.
Anapenda kuishi maisha ya starehe, kusafiri na kujali na kupamba nyumba zao.
Hapendi fujo na ni watu wenye haya.
Akikasirika anakua na tabia kama za wazimu(Lunatic behaviour)
Katika mapenzi huwa na mahaba mazito na hupenda kuwa na mpenzi wake wakati wote.
MATAMANIO YAKE (AMBITIONS) UZURI NA UBAYA WAKE
Ni mtu msiri mwenye mahaba, mbishani na mvumilivu
Ni mtu mwenye tabia hazieleweki na mwenye kupenda kukosoa.
Ni mtu yuko makini (serious) hupenda kutoa amri na mwenye wivu sana.
Hupenda kuwa na kila kitu na hupenda kufuatilia mambo kwa undani.
Wakati mwingine ni wenye tabia za kiwazimu (Lunatic)
Wanajiamini sana, wenye nguvu, wapo tayri wakati wowote saidia watu.
Huwa na wasi wasi kufikia malengo yao.
Ni watu wenye mahaba mazito lakini kwenye mapenzi huwa hayaeleweki.
Wakipenda my hujitolea kwa hali na mali lakini hawatulii
Watapitia uhusiano nyingi za kimapenzi.

DENIS
Jina hili linatawaliwa na yota ya CANCER
TABIA YAKE
Ni mtu mwenye upendo, huruma, mwenye kujali, mwaminfu, mwenye kupenda kutoa.
Wakati mwingine huchukulia mambo vibaya (over-reactive) na tabia zake hubadilika badilika (moody).
Ni mtu mwenye maneno matamu, busara, mwenye kufanya kazi kwa nguvu na hupenda ukweli.
Anapenda kuishi maisha ya starehe, kusafiri na kujali na kupamba nyumba zao.
Hapendi fujo na ni watu wenye haya.
Akikasirika anakua na tabia kama za wazimu(Lunatic behaviour)
Katika mapenzi huwa na mahaba mazito na hupenda kuwa na mpenzi wake wakati wote.

MAISHA YAKE
Maisha yake yatakua yenye bahati ya kupata pesa hasa akiwa msomi atasomea mambo yafuatayo:-
• Ufundi
• Mawasiliano
• Mfanyibiashara
• Wakili
• Utangazaji
• Mshauri
Katika kazi yeye ni rahisi kupanda daraja na kuwa mkurugenzi.
Atakua ni mtu mwenye busara na kuaminika hasa katika jamii au familia yake.
Pia ni mtu mkorofi, mwenye maneno maneno, mwenye fitna na mwenye kupenda wanawake.
Wengi wao watakua na watoto nje ya ndoa au kabla ya kufunga ndoa.
MATAMANIO YAKE (AMBITIONS) UZURI NA UBAYA WAKE
Ni mtu mwenye kupenda maisha, starehe, wanawake, ufundi,mwenye kujiamini, mwenye vipaji vingi, wenye uongiozi wa kuzaliwa, mpatanishi, mwaminifu lakini ubaya wake mara nyingi hutaka kulazimisha mambo.

MAJINA YA KISANII YA KUBANDIKWA AU YA UTANI NA ATHARI ZAKE
DIAMOND

TABIA YAKE
Ni mtu mwenye mapenzi, huruma, mwaminifu, mwenye kuopenda kutoa lakini wakati mwingine anakua ni mtu mwenye hasira
Anapenda kuishi maisha ya kifahari, kusafiri safari, kupamba nyumba zao lakini katika mapambo hayo hakutakosa kitu cha kizamani.
Anapenda mambo ya kizamani na kiasili anajali sana maisha yake ya baadae.
Hapendi fujo ya aina yoyote ile, ni mtu mwenye haya na mwenye mapenzi moto moto.
Hupenda kuwa na mtu anayempenda wakati wote.
MAISHA YAKE
Atakua ni mtu mwenye kupendwa na jamii
Atapata mafanikio kutoka na ubunifu wake
Ni mtu mwenye kupenda mawasiliano
Mi mtu mwenye kujali mahusiano yake ya mapenzi na kirafiki
Ni mtu mwenye kupenda vitu vizuri vyenye thamani na daraja ya juu (elegance).
Ni mtu hapendi malumbano.
Ni mtu mwenye kupenda kuitoa mawazo yake bila kujali.
Apendi kushindwa.

MATAMANIO YAKE UZURI NA UBAYA WAKE
Ni mtu mwenye vipaji vingi, mfikiriaji, mzungumzaji mzuri, mwenye kupendwa na jamii, mpole, mwerevu na mwenye kujituma.
Matatizo yake hawezi kuwa na uhusiano na mtu kwa muda mrefu, ni wapenzi wazuri lakini mara nyingi hupenda kuwa huru na kufanya anachokitaka na hawana subra.
Anaweza kubadilisha mawazo yake wakati wowote bila kujali.

WEMA

Jina hili linatawaliwa na yota ya NDOO
TABIA YAKE
Ni mtu mwenye huruma na mpenda maendeleo.
Ni mtu mkweli, rahisi kuelewana nae na mwenye kujituma.
Hupenda kuuliza uliza mambo mengi kwa watu (udaku).
Ni mtu hatabiriki anaweza kufanya chochote.
Ni mtu mpole.
Akiudhiwa au akikasirika hupata shida sana na ni mtu mwenye kisasi (grudge) kwa wenye kumuudhi.
Ni mtu mwenye kupenda kusifiwa (compliments).
Ni mtu mwenye kupenda kusema ukweli na kuponda (critical).
Anaweza kuwa rafiki au mpenzi mzuri
Hupenda mambo mengi (interests) na pia ana kipaji cha ubunifu.
Kazi zinazo mfaa ni mshairi, uigizaji au urubani (pilot).

MAISHA YAKE
Ni mtu mwenye mapenzi, huruma, mwaminifu, mwenye kupenda kutoa lakini wakati mwingine jambo ndogo hulichukulia vingine na ni mwenye hasira.
Wakati mwingine huwa na tabia za ajabu (Lunatic).
Ni mtu mwenye maneno matamu, hupenda starehe na mwenye kufanya kazi kwa bidii.
Anapenda kuishi maisha ya kifahari, kusafiri na kupamba nyumba zao.
Ni mtu hapendi fujo ya aina yoyote.
Ni mtu mwenye haya, kujipenda na kuishi maisha ya mapenzi. Anapenda sana kuwa na mpenzi wake wakati wote.

MATAMANIO YAKE UZURI NA UBAYA WAKE
Ni mtu msiri, mwenye mapenzi ya kweli na mwenye kupenda maelewano.
Ubaya ni mtu mbishi (steadfast) mwenye kuvumilia maumivu mengi (painstaking) na mbishani (stubborn).
Wakati mwingine ni mtu vigumu kuelewana nae (complex) na mwenye kukashifu (contradictory).
Ni mtu mwenye kipaji cha kumsoma mtu na kujua udhaifu wake
Ni mtu yuko serious na maisha, mwenye kupenda kutoa amri na pia mtu mwenye wivu sana.
Wakati mwingine anaweza kuwa mtu mbaya (cold) na akikasirika ana tabia za kiwazimu (Lunatic).
Ni mtu mwenye mengi mazuri, bidii na kuwa tayari wakati wowote kusaidia watu.
Hufanya bidii kufanikisha anacho kitaka.
Ni mtu mwenye mahaba mazito lakini uhusiano wake huwa na matatizo (contradictory) na hayaeleweki (complicated).
Akipenda mtu hujitolea mwili, nafsi yake katika hayo mapenzi lakini mara nyingi huwa hatulii.

JAYDEE

Jina hili linatawaliwa na yota ya MBUZI
TABIA YAKE
Ni mtu mwenye huruma, mwaminifu, mwenye kupenda kutoa lakini wakati mwingine hubadilika badilika (moody).
Ni mtu mwenye bidii (ambitious) si muoga, kujituma na huwa tayari kujitolea (sacrifice).
Wakati mwingine huwa na akili mbaya (cold minded).
Ni mtu mwenye subra na kupanga mambo yao taratibu kwa uangalifu.
Huakikisha amefikia malengo yake.
Hupata mafanikio kwa kutumia njia yoyote bila ya kuomba msaada.
Wakati mwingine huwa hatulii (impulsiveness).
Ni mtu mwenye haya.
Wakati mwingine huwa na wasi wasi (insecurity) lakini huisha akijua watu wanampenda na kushukuriwa (appreciated).
Anaweza kua mwana siasa mzuri, mfanyi biashara mzuri, mwenye kumiliki majumba na kazi ya bank.
Katika mapenzi hataki mchezo yupo serious na mwaminifu lakini sio (effusive).
Atapata mafanikio na umaarufu kutokana na sauti yake.

MAISHA YAKE
Atakua ni mtu mwenye mapenzi na kupendwa, mwenye huruma, mwenye busara, mwaminifu na mwenye kupenda kutoa (charitable).
Mara nyingi ni mtu wa kuchukulia mambo vibaya na hubadilika badilika.
Hupenda kazi zake kufanyika kisawa sawa (efficient).
Ni mtu mwenye kujali pesa sana.
Hupenda maisha yake yawe private.
Hapendi vkutumiwa ovyo ovyo (waste).
Hupenda nyumba yake na kuzipamba ana taste nzuri ya vitu na hupenda vitu view kwa mpangilio (order mania).
Hupenda kujituma sana katika kazi zake ni mwerevu na mwenye kipaji kikubwa.
Hupenda kupendwa na kuwa na marafiki lakini kutokana na tabia yake ya aibu ni vigumu kudumisha uhusiano wa kudumu.

MATAMANIO YAKE UZURI NA UBAYA WAKE
Ni mtu mwenye kupenda, huruma, mwaminifu, mwenye kupenda kutoa (charitable), mwenye maneno matamu, mwenye bidii na kupenda ukweli.
Anapenda kuishi maisha ya kifahari, kusafirui na kupamba nyumba yake.
Hapendi fujo wala malumbano.
Ni mtu mwenye haya na kupenda kuishi maisha ya mapenzi (romantic).
Akipenda mtu hupenda mapenzi ya kweli na kujitolea kwa huyo mtu.
Akikasirika tabia zake huwa kama wazimu (lunatic behaviour).

TID

Jina hili linatawaliwa na yota ya NGE
TABIA YAKE
Ni mtu mwenye kupenda kujitegemea, mwaminifu na mtu wa kujisifu.
Ni mtu mwenye kupenda Sanaa na vitu vizuri.
Mwenye kupenda pesa sana anaweza kufanya lolote kupata pesa wakati mwingine pia anaweza kudhulumu.
Ni mtu realistic na kupenda uhakika (security) katika mambo yake.
Ni mtu mwenye kupenda mpangilio hata kwenye mapenzi.
Ni mtu mwenye subra, mpole na mwenye kipaji.
Akikasirika anapenda fujo (violence) na hapo ndipo shida yake ipo.
Anatakiwa kuwa mwangalifu akishirikiana na mtu
Hupenda kupumzika akifikia malengo yake.

MAISHA YAKE
Ni mtu mwenye vipaji vingi, mfikiriaji, msemaji, mwenye kupendwa na jamii na mwenye kujituma.
Mwenye kupenda kufanya mambo mengi mara moja wakati mwingine anakosa muelekeo.
Ni mtu mwerevu na mwenye kujituma.
Mara nyingi ni vigumu kushirikiana na mtu kwa muda mrefu.
Ni mtu mpole na hupenda kukosoa vitu.
Ni mpenzi mzuri lakini hutaka kuwa huru na kufanya analotaka.
Ni mtu asiekua na subra na anaweza kubadilisha mawazo yake wakati wowote.
Hujuwa kitu kwa muda mfupi (quick to learn).
Anaweza kuishi katika hali yoyote ile.
Hupenda kubadilisha badilisha wapenzi.
Anapenda kusafiri, maisha ya kijamii na kuishi sehemu yenye nafasi.

MATAMANIO YAKE UZURI NA UBAYA WAKE
Ni mtu mwenye bidii (determined), si muoga, mwenye vipaji vingi, ana kipaji cha uongozi cha kuzaliwa, hatulii, mbishani na mwenye kupenda maoni.
Mwenye tamaa, kujipenda, kujijali, mjeuri na mwenye kupenda fujo.
Ni mtu mwenye mapenzi akitaka, hapendi mipangilio (order) lakini huwa mwaminifu katika mapenzi.
TEMBA

Jina hili linatawaliwa na yota ya NGE
TABIA YAKE
Ni mtu mwenye kupenda kujitegemea, mwaminifu na mtu wa kujisifu.
Ni mtu mwenye kupenda Sanaa na vitu vizuri.
Mwenye kupenda pesa sana anaweza kufanya lolote kupata pesa wakati mwingine pia anaweza kudhulumu.
Ni mtu realistic na kupenda uhakika (security) katika mambo yake.
Ni mtu mwenye kupenda mpangilio hata kwenye mapenzi.
Ni mtu mwenye subra, mpole na mwenye kipaji.
Akikasirika anapenda fujo (violence) na hapo ndipo shida yake ipo.
Anatakiwa kuwa mwangalifu akishirikiana na mtu
Hupenda kupumzika akifikia malengo yake.
MAISHA YAKE
Ni mtu mwenye kujituma (motivated) mwenye bidii (ambitious), mkweli na mwenye kutoa (charitable).
Ni mtu mwenye kupenda kusifiwa.
Ni mtu anayependa kujitegemea, kuwa huru, mwenye mapenzi ya kweli na mkarimu.
Mara nyingi shida yake ni kujiamini sana yeye mwenyewe.
Hupenda wakati mwingine kulazimisha mambo na hapendi kushindwa.
Ni mwenye kufanya kazi kwa bidii na hupata mafanikio katika kazi zake.
Hutaka kupanda juu (Excel) na kupata umaarufu.
Hupenda kuishi maisha ya kianasa, kitajiri na kujistarehesha.
Ni mtu mwenye mahaba mazito na anaweza kumpa kila kitu mtu anaye mpenda.

MATAMANIO YAKE UZURI NA UBAYA WAKE
Ni mtu mwenye vipaji vingi, mfikiriaji, mzungumzaji mzuri, mwenye kupendwa na jamii, mpole, mwerevu na mwenye kujituma.
Matatizo yake hawezi kuwa na uhusiano na mtu kwa muda mrefu, ni wapenzi wazuri lakini mara nyingi hupenda kuwa huru na kufanya anachokitaka na hawana subra.
Anaweza kubadilisha mawazo yake wakati wowote bila kujali.

CHEGE

Jina hili linatawaliwa na yota ya MAPACHA

MATATIZO NA MAFANIKIO WANAOPATA VIONGOZI KUTOKANA NA MAJINA YAO YA UMAARUFU
NYERERE

TABIA YAKE (1,4,2)
Alikua ni mtu mwenye bidii, kujiamini na nmwenye vipaji vingi.
Alikua na kipaji cha uongozi cha kuzaliwa nacho
Alikua ni mtu mkweli na mwaminifu.
Alikua ni mtu mwenye afya nzuri.
Mara nyingi alikua akifanya makosa kutokana na tabia yake ya kuto kutulia (impulsiveness).
Ni mtu mwenye kupenda uhuru.
Alikua ni mtu mwenye kupenda kazi yake na kufanya kwa kuipenda.
Vipaji alivyokua navyo ni :- mbunifu, mwandishi, mwanasheria, uigizaji na kipaji cha siasa.
Wakati mwingine alikua akijieleza bila kujali kwa ujeuri na kwa njia ya fujo (violent).
Alikua pia ni mtu mchekeshaji (charming).
Alikua ni mwenye kujali usalama wake na wan chi.
Pia alikua ni mtu mpatanishaji.
Alikua ni mtu mwenye kupenda kujitegemea.
Alikua ni mtu mwenye kupenda sifa.
Wakati mwingine alikua ni mtu obstinated na decisive.
Alikua ni mtu mwenye upendo, susceptible, mwenye huruma, sensual, mwaminifu, instinctive na mwenye kupenda kusiadia watu.
Wakati mwingine alikua ni mtu over- reactive and moody.

MAISHA YAKE
Katika maisha yake alikua ni mtu refined.
Alikua ni mtu akipenda mambo ya kijamii
Alikua ni mtu msanii
Alikua ni mtu msomi (intellectual).
Alikua ni mtu msemaji.
Alikua ni mtu anayejali sana uhusiano wake na watu wengine.
UZURI NA UBAYA WAKE
Alikua hapendi mambo mapya
Alikua mtu wa kulazimisha mambo
Alikua ni mtu mwenye hari (ambitins)
Alikua ni mtu anayependa ufalme na kutukuzwa.

MWINYI

TABIA YAKE (1,3)
Ni mtu mwenye kujiamini, sio muoga, mwenye vipaji vingi, uongozi wa kuzaliwa, mwenye msimamo, mwaminifu na mwenye hari (ambitious)
Mwenye afya nzuri.
Wakti mwingine hataki ushauri.
Mwenye kupenda kazi yake na kufanya na bidii
Wakati mwingine hujieleza bila kujali
Ni mtu mwenye kujali sharia na kupenda kufanya mambo yake kwa kufuata utaritibu uliopo (ORDER)
Pia ni mtu mchekeshaji (charming).
Msemaji mzuri tatizo hutaka kufanya mambo mengi kwa wakati mmoja.
Ni mtu mpole lakini mwerevu sana
Ni mtu anayependa uhuru na kujitegemea.
Mara nyingie hana subra na anaweza kubadilisha mawazo yake wakati wowote.
Ni mtu anayependa kusafiri na maisha ya kijamii.

MAISHA YAKE
Ni mtu mwenye mapenzi, susceptible, mwenye huruma, sensual, mwaminifu, instinctive na mwenye kupenda kutoa (charitable).
Wakati mwingine ni mtu mwenye kuchukulia mambo madogo vibaya na kubadilika badilika (over reactive and moody).
Ni mtu mwenye kujali pesa sana na hapendi watu kutumia vitu ovyo (waste).
Ni mtu mwenye kujali urafiki
Ni mtu mwenye haya.
UZURI NA UBAYA WAKE
Alikua hapendi mambo mapya
Alikua mtu wa kulazimisha mambo
Alikua ni mtu mwenye hari (ambition)
Alikua ni mtu anayependa ufalme na kutukuzwa.

MOI

TABIA YAKE (1,3)
Ni mtu mwenye kujiamini, sio muoga, mwenye vipaji vingi, uongozi wa kuzaliwa, mwenye msimamo, mwaminifu na mwenye ari (ambitious)
Mwenye afya nzuri.
Wakti mwingine hataki ushauri.
Mwenye kupenda kazi yake na kufanya na bidii
Wakati mwingine hujieleza bila kujali
Ni mtu mwenye kujali sharia na kupenda kufanya mambo yake kwa kufuata utaritibu uliopo (ORDER)
Pia ni mtu mchekeshaji (charming).
Msemaji mzuri tatizo hutaka kufanya mambo mengi kwa wakati mmoja.
Ni mtu mpole lakini mwerevu sana
Ni mtu anayependa uhuru na kujitegemea.
Mara nyingie hana subra na anaweza kubadilisha mawazo yake wakati wowote.
Ni mtu anayependa kusafiri na maisha ya kijamii.

MAISHA YAKE
Ni mtu mwenye vipaji vingi, msemaji mzuri, mfikiriaji wa mambo,kupendwa na jamii, hupenda kufanya mambo mengi mara moja.
Mbunifu, mpole, mwerevu na mwenye kujituma.
Wakati mwingine huwa mkorofi na kufanya mambo ambaya watu hawapendi.
Ni vigumu kushirikiana na mtu kwa muda mrefu anaweza kubadilisha badilisha watu katika uongozi wake wakati wowote.
Ni mtu hana subra na anaweza kubadilisha mawazo yake wakati wowote
Anapenda sana kusafiri, maisha ya kijamii na kuishi kwenye nyumba yenye nafasi kubwa.
Ana kipaji cha siasa, ukurugenzi, mfanyi biashara na sharia.

UZURI NA UBAYA WAKE
Ni mtu mwenye kujali usalama, mpatanishaji, sensual, mwenye kupenda kujitegemea, mwaminifu, mwenye kupenda kujisifu (proud), asiyetaka mabadiliko na wakati mwingine hushuindwa kufanya maamuzi (decisive).
Ni mtu mwenye afya nzuri
Hupenda watu wafanye vitu kwa mpangilio (routines)
Ni mtu mkimya
Lakini akikasirika anaweza kua mgomvi (violent)
Anakipaji kikubwa cha ualimu na upishi
Hupenda kupumzika akifikia malengo yake
Serikali yake itakumbuwa na kashfa nyingi ya pesa.

KIKWETE

TABIA YAKE
Ni mtu detached, mwenye kupenda maendeleo, mwenye utu, msomi (intelectual), flamboyant, mwenye huruma na mambo yake mara nyingi hayatabiriki (unpredictable).
Ni mtu mkweli (sincere) rahisi kuelewana nae, mkimya na mwenye kujituma.
Hupenda kuuliza mambo mengi kutoka kwa watu
Ni mtu anayependa kusifiwa (compliments)
Ni mtu mwenye kupenda kukosoa jambo (critical)
Ni rafiki mzuri na mwenye mapenzi ya kweli.
Ni mtu mwenye kupenda mambo ya ubunifu (creative)
Ana kipaji cha ushairi (poet) uigizaji (actor) na urubani (pilot).
MAISHA YAKE
Katika maisha yake alikua ni mtu refined.
Alikua ni mtu akipenda mambo ya kijamii
Alikua ni mtu msanii
Alikua ni mtu msomi (intellectual).
Alikua ni mtu msemaji.
Alikua ni mtu anayejali sana uhusiano wake na watu wengine.

UZURI NA UBAYA WAKE
Ni mtumwenye upendo, susceptible, huruma, sensual, mwaminifu, instinctive, mwenye kupenda kutoa.
Wakati mwingine huwa na tabia ya ajabu (over reactive and moody).
Ni mtu mwenye maneno matamu, conservative, mwenye nguvu, mwenye kujituma na fanciful.
Hupenda kuishi maisha ya kifahari, kusafiri na kuishi kwenye nyumba nzuri.
Si mtu mwenye kupenda fujo ay aina yoyote.
Ni mtu mwenye haya, possessive na hupenda kuwa na mtu anayempenda wakati wote.

UHURU KENYATTA

TABIA YAKE
Ni mtu mwenye kupenda kujitegemea, mwaminifu na mtu wa kujisifu.
Ni mtu mwenye kupenda Sanaa na vitu vizuri.
Mwenye kupenda pesa sana anaweza kufanya lolote kupata pesa wakati mwingine pia anaweza kudhulumu.
Ni mtu realistic na kupenda uhakika (security) katika mambo yake.
Ni mtu mwenye kupenda mpangilio hata kwenye mapenzi.
Ni mtu mwenye subra, mpole na mwenye kipaji.
Akikasirika anapenda fujo (violence) na hapo ndipo shida yake ipo.
Anatakiwa kuwa mwangalifu akishirikiana na mtu
Hupenda kupumzika akifikia malengo yake.
Ni mtu mwenye kujiamini, sio muoga, mwenye vipaji vingi, uongozi wa kuzaliwa, mwenye msimamo, mwaminifu na mwenye ari (ambitious)
Mwenye afya nzuri.
Wakti mwingine hataki ushauri.
Mwenye kupenda kazi yake na kufanya na bidii
Wakati mwingine hujieleza bila kujali

MAISHA YAKE
Katika maisha yake alikua ni mtu refined.
Alikua ni mtu akipenda mambo ya kijamii
Alikua ni mtu msanii
Alikua ni mtu msomi (intellectual).
Alikua ni mtu msemaji.
Alikua ni mtu anayejali sana uhusiano wake na watu wengine.

UZURI NA UBAYA WAKE
Ni mtu mwenye upendo, susceptible, hururma, sensual, mwaminifu, instinctive,mwenye kupenda kutoa.
Wakati mwingine huwa na tabia ya ajabu (over reactive and moody)
huwa na maneno matamu, conservative, mwenye nguvu, mwenye kujituma na fanciful
hupenda kuishi maisha ya kifahari, kusafiri na kuishi kwenye nyumba nzuri.
Ni mtu mwenye haya na possessive.
Hupenda kuwa na mtu anayempenda wakati wote.
Serikali yake itakumbwa na mambo ya ubadirifu wa fedha (Anglo lessing)
Serikali yake itakumbwa na maneno ya kulazimisha sharia (force of depatriation of Somalis in kenya)
Serikali yake mapolice watakuwa na nguvu sana

Comments

Popular posts from this blog

SAIKOLOJIA : PATA KUFAHAMU MAKUNDI MANNE YA TABIA ZA BINADAMU.

Rapa B.o.B ataka kuthibitisha iwapo dunia ni duara

Kanuni za kuishi na Watu / Binadam Vizuri