KANISA LA WAADVENTISTA WASABATO MULUNGUSHI:





                            KANISA LA WAADVENTISTAWASABATO MULUNGUSHI -IGOGO
                                                                         MWANZA.


                                                       Wanayo furaha kukualika/kuwaalika.

Bw/bi/mhe./Dkt./mch./mwl./ndg…… Kwenye changizo la kununua viti vya kanisa. Litakalo fanyika trh,20/01/2018,siku ya jumamosi (SABATO) katika kanisa la wasabato Mulungushi, kuanzia saa 08:00-mchana hadi saa 11:30 jioni. Lengo ni kupata kiasi cha sh.10,000,000/=(Millioni kumi).

Viti-500
Sh.5,000,000/=
Mic- 15
Sh.2,000,000/=
Kuvuta umeme
Sh.700,000/=
Speaker -2
Sh.2,300,000/=
Jumla
Sh.10,000,000/=

Nimatumaini yetu kuwa utashirikiana nasi kufanikisha lengo hili katika kazi ya MUNGU kwa njia ya matoleo.



                       Mungu akubariki unapo jiandaa kushirikiana nasi

Emmanuel Shadrack                                                                                    Sabato Zacharia
Karani wa kanisa                                                                                       Mkurugenzi wa vijana

0767-510837                                                                                                      0755-977840

Comments

Popular posts from this blog

SAIKOLOJIA : PATA KUFAHAMU MAKUNDI MANNE YA TABIA ZA BINADAMU.

Rapa B.o.B ataka kuthibitisha iwapo dunia ni duara

Kanuni za kuishi na Watu / Binadam Vizuri