Posts

Showing posts from March, 2019

Njia zitakazokusaidia kuwa na furaha katika maisha yako ya kila siku

Image
Mabadiliko yaliyo mepesi  kwenye tabia zako za kila siku yatakuweka kwenye mstari wa furaha unayoitaka, hivyo kila wakati ni lazima uweze kutafakari na kufikiri vyema ni kwa namna gani unaweza kuwa na furaha na amani ndani ya moyo wako. Zifutazo ndizo njia za kuwa na furaha katika maisha yako; Pata masaa 7 mpaka 8 ya kulala usiku. Kulala usingizi wa kutosha  unapata furaha, utaweza kuwa na nguvu ya kufanya kazi zako , na utakuwa na mahusiano mazuri. weka simu yako mbali unapoenda kulala,  usitumie chakula kingi wakati wa jioni. Jitahidi kuamka mapema Kama wewe ni mfanyakazi wa kuajiriwa na una tabia ya kuchelewa kazini, jaribu kuamka mapema  dakika 15 au 30 kila siku kwa ajili ya kujiandaa vizuri na kukumbuka vitu vyote vya kufanya, kuchukua siku hio. utaona tofauti ya tabia yako. Fanya tafakari  Hii ni kubwa. meditate kwa muda wa dakika 10 au 20, utapata faida nyingi zaidi ya furaha, pamoja na kuwa muwazi, kuwa na malengo  ya siku nzima. Anza siku yako na meditation. utajiepusha na t