DAH HATA WEWE NAE!!!!!!


            nimiaka sasa tangu kumjua binti mzuri salima, sasa naishi nae kama mke kwangu.

Ilikuwa ni mwak 2015,nilipokuwa nikifanya kazi ya kuuza maji stendi kuu kwenda msoma buzurruga, wakati napita pita katka kazi zangu nilimwona dada mmoja akiwa ameketi peke yake na mabegi huku ameinama, kwa kuwa mimi ni shughuri yanu kuuza basi nilimufuata na nilitaka japo kumuzia majitu ya kunywa , nilipofika kwake nika mwita, Dada,, dada, nilimwita mara mbili, akaitika abee,hukua kiwa ameinamisha kichwa chake, tafadhari nauza maji na soda karibu, Yule mdada hakunijibu kitu, niipomtizama kwa makini alikuwa avimba macho hii ikimaanisha kuwa alikuwa akilia, nikamwita dada akinitikia abee kaka, nikamuliza mbona hivi unalia, umepatwa na nini? Alijibu tafadhari kakaniache tu we endelea na kzi yako, nikatua mizigo yangu nkakaa kitako kumsikiliza.

Dada jua kuwa katika masiha haya wote ni binadamu na kila mmoja hupatwa na changamoto za maisha, na kuna wengine wakisimama hapa wakakweleza yaliyo wapata wawza shangaa,. Hata mimi nina yangu yanayo nisibu makubwa tu. Tafadhari naomba unieleze kinacho kuliza kama hutojari najua hunijui wala hunifahamu,

Dada akainua kichwa chake na kunitizama usoni huku machozi yakimbumbujika, nikachukua leso nikamfuta machozi nikmsihi aache kulia, yaani nikama nilikuwa nazidi kuutonesha moyo wake alizi kutoa machozi mengi zadi name sikusita kumfuta, akalia sana, alipo nyamaza, akanitizama tena nakuniita, Kaka nkaitika Naam,akanita tena Kaka, nikaitika tena, huku amenikazi macho akaniita tena Kaka, sikusita nilitika tena, Naam.unajua yaliyo nisibu??, nikasema sijui kitu kwani ndo mara ya kwanza nakwona leo sikufahamu hunifahamu, ila ukinieleza nitayatambua.

Kwa jina naitwa Salima nilikuwa na mume anfedha na kila kitu chini ya jua ana mali nyingi lakini nimeamua kwondoka kwake na ndio maana leo unaniona hapa stendi nimekaa najionea aibu siju uso wangu nauweka wapi dunia yote ni kama inanizomea, uimwengu wote ni kama hauko na mimi tama imeniponza na leo sin mume tena.................................................


Comments

Popular posts from this blog

SAIKOLOJIA : PATA KUFAHAMU MAKUNDI MANNE YA TABIA ZA BINADAMU.

Rapa B.o.B ataka kuthibitisha iwapo dunia ni duara

Kanuni za kuishi na Watu / Binadam Vizuri