Posts

Showing posts from August, 2020

DAH HATA WEWE NAE!!!!!!

             nimiaka sasa tangu kumjua binti mzuri salima, sasa naishi nae kama mke kwangu. Ilikuwa ni mwak 2015,nilipokuwa nikifanya kazi ya kuuza maji stendi kuu kwenda msoma buzurruga, wakati napita pita katka kazi zangu nilimwona dada mmoja akiwa ameketi peke yake na mabegi huku ameinama, kwa kuwa mimi ni shughuri yanu kuuza basi nilimufuata na nilitaka japo kumuzia majitu ya kunywa , nilipofika kwake nika mwita, Dada,, dada, nilimwita mara mbili, akaitika abee,hukua kiwa ameinamisha kichwa chake, tafadhari nauza maji na soda karibu, Yule mdada hakunijibu kitu, niipomtizama kwa makini alikuwa avimba macho hii ikimaanisha kuwa alikuwa akilia, nikamwita dada akinitikia abee kaka, nikamuliza mbona hivi unalia, umepatwa na nini? Alijibu tafadhari kakaniache tu we endelea na kzi yako, nikatua mizigo yangu nkakaa kitako kumsikiliza. Dada jua kuwa katika masiha haya wote ni binadamu na kila mmoja hupatwa na changamoto za maisha, na kuna wengine wakisimama hapa wakakweleza yaliyo wapa