Alicho kipost Diamond muda mfupi baada ya Alikiba kuachia wimbo wake


Muda mfupi baada ya mwimbaji staa Alikiba kuachia video ya wimbo wake mpya ‘Seduce Me’ leo August 25, 2017, staa mwingine wa Bongofleva kutokea WCB, Diamond Platnumz amepost picha kwenye Instagram.







Diamond amepost picha ya mtu akicheka kitu kilichowafanya mashabiki kuunganisha matukio wakidai huwenda picha hiyo ni ujumbe baada ya kuusikia wimbo wa Alikiba.


Comments

Popular posts from this blog

Kanuni za kuishi na Watu / Binadam Vizuri

SAIKOLOJIA : PATA KUFAHAMU MAKUNDI MANNE YA TABIA ZA BINADAMU.

Chanzo cha saratani ya matiti