IJUE ASILI YA JUMAPILI NA IBADA YA JUA
LAIKINI KUMBUKA KUWA KIPINDI CHOTE HICHO WATU WALIISHI SEHEMU MOJA NAKUONGEA LUGHA MOJA KWA UHAKIKA KAMILI SOMA MWANZO 11.MM
BAADA YA UCHAFUZI WA LUGHA PALE BABELI WATU WALISAMBAA NA TAMADUNI ZA KUFANANA UKITAKA KIHAKIKISHA HILI CHUNGUZA IBAADA NA TIBA ZA WAGANGA WA JADI DUNIA,NZIMA WANAFANANA KARIBIA ASLIMIA MIA 100% HII NIKWASABABU WATU WAKALE BAADA YA GHARIKA WOTE WALIAMINI NA KUNUIA MAMOJA. HIYVO TAMADUNI ZAO ZILIKUWA NI MOJA.
BAADA YAHAPO WATU WALISAMBALITIKA KWENDA SEHEMU MBALIMBALI ZA DUNIA HASA UPANDE WA MASHARIKI WAKIWA KATIKA MAENEO MBALIMBALI TARATIBU FALME MBAMBALI KUBWA NA NDOGO ZILIANZA KUINKA MOJA YA FALME HIZO ILIKUWA NI BABELI ULIOANZA MWAKA(*606-538 au 605-539 K.K.)CHINI YA WAFLME MBALIMBALI WAKIWEMO KAMA KINA NEBUPOLAS BABA YAKE NA NEBUKADNNEZZER HADI BELITISHAZA KUPITIA UFALME WA SIKUKUU NYINGI SANA ZILIANZISHWA KAMA VILE
CHRISTMAS 25/12/kila mwaka mwanzlishi alikuwaa TAMMUZ aliyezaliwa tarehe25/12KK. NA NIMROD/
EASTER mwanzlishi wake mungu ishiter IBAADA HII ILIKUWA IKIFANYIKA
BABELI.K.K ILI KUMUOMBA HUYO MUNGU WAO BAADAE ZILINUKA DOLA ZINGINE KAMA AMBAVYO MUNGU ALIVYO KUWA AMESEMA KUPITIA NABII WAKE Daniel 2 yote kwa mhutasari soma maelezo hapo chini.
BHHI. UFALME WA BABELI (606-538 au 605-539 K.K.).
Umewakilishwa na Kichwa cha dhahabu (Dan. 2:37-38). Historia inaunga mkono.
II. UFALME WA WAMEDI NA WAAJEMI (538-331 au 539-331 K.K.).
Uliuangusha Ufalme wa Babeli (Dan. 5:25-31). Unawakilishwa na Kifua na Mikono
ya Fedha (Dan. 2:32a,39a). Historia inaunga mkono. Miaka ni ya kukadiria tu.
III. UFALME WA WAYUNANI (331-168 K.K.)
Ufalme wa Wamedi na Waajemi ulitabiriwa kuwa utaangushwa na Wayunani (Dan.
8:4-7,20-21; 11:1-3). Ufalme wa Wayunani (Wagiriki) unawakilishwa na Tumbo na
Viuno vya Shaba (Dan. 2:32b,39b). Historia inaunga mkono.
IV. UFALME WA WARUMI (168 K.K. - 476 B.K.).
Ufalme wa Warumi unawakilishwa na Miguu ya Chuma. Biblia inaielezea vizuri
Dola ya Warumi kuwa ilikuwa inazivunja-vunja falme zile nyingine kama chuma. Danieli
hakujulishwa jina la Dola hii. Lakini historia inathibitisha kuwa Warumi waliwashinda
Wayunani mwaka ule wa 168 K.K. Wakati Kristo anazaliwa Dola hiyo ilikuwa bado
inatawala dunia pamoja na Palestina chini ya Kaisari Augusto (Luka 2:1-7; Yohana 11:48).
Asomaye Na Afahamu - 6
V. UFALME WA PAPA (538-1798 B.K.)
Ulitokea katika mabaki ya Dola ya Warumi baada ya kuangushwa na makabila ya
kishenzi [kipagani] ya Ulaya Kaskazini mwaka wa 476 B.K. Unawakilishwa na Nyayo za
miguu (Dan.2:33b,41a). Udongo unawakilisha kanisa au watu wa Mungu (Isa.64:8; Yer.
18:6). Chuma kinawakilisha serikali. Hivyo kuchanganyika kwa udongo na chuma ni
muungano wa dini na serikali chini ya kiongozi mmoja wa kidini wa Roma. Historia
inathibitisha kwamba ufalme huu uliinuka katika mabaki ya Dola ya Warumi baada ya
kuangushwa na kutawala dunia kuanzia 538 B.K. Huu ni Utawala wa Papa au Upapa.
VI. FALME KUMI ZA ULAYA MAGHARIBI (476-MAREJEO YA KRISTO)
Falme kumi za Ulaya Magharibi zinawakilishwa na Vidole Kumi Vya Nyayo (Dan.
2:42). Falme hizo ni Uingereza, Ufaransa, Ujerumani, Uswisi (Switzerland), Ureno,
Hispania, Italia, Waheruli (Heruli)*, Wavandali (Vandals)*, na Waostrogothi
(Ostrogoths)*. Falme tatu za mwisho huwezi kuziona katika ramani ya siku hizi. Habari
zake zitatolewa katika somo la Danieli 7. Mataifa hayo 10 yalikuwa makoloni ya Warumi.
Rumi ilipoanguka mwaka 476 yakawa yamejikomboa na kuwa huru. Baadaye
yalipoipokea dini ya Katoliki kwa nguvu yakajikuta yametawaliwa na Papa aliyejiita
Mfalme wa wafalme kuanzia mwaka 538 B.K.......................................................INAENDELEA
Comments
Post a Comment