Mirgayas Shirinsky , balozi wa Urusi Sudan apatikana akiwa amefariki nyumbani kwake mjini Khartoum







Balozi wa Urusi nchini Sudan Mirgayas Shirinsky,amepatikana akiwa amefariki Jumatano katika nyumba yake iliyoko jijini Khartoum.

Taarifa hiyo ilitolewa na wizara ya mamboya nje nchini ya Sudan.

Wizara hiyo haikutoa maelezo zaidi kuhusu chanzo cha kifo chake ingawaje balozi huyo alijulikana kuwa na maradhi ya shinikizo la juu la damu.
Wizara ya mambo ya nje ya Sudan wakati huo huo ilituma ujumbe wa pole kwa Urusi na kutoa pongezi kwa Shirinsky kwa juhudi zake za kidiplomasia .

Comments

Popular posts from this blog

Kanuni za kuishi na Watu / Binadam Vizuri

SAIKOLOJIA : PATA KUFAHAMU MAKUNDI MANNE YA TABIA ZA BINADAMU.

Chanzo cha saratani ya matiti