MUHUBURI 9:13-18
13-Pia nimeona hekima chini ya jua,nayo ni kama hivi,tena kwangu mimi ilionekana kuwa ni neni kubwa.
14-Palikuwa na mji mdogo na watu ndani yake walikuwa wachache; akaja mfalme mkuu juu yake akauhusuru akajenga ngome kubwa ili kuupiga.
15-Basi,kulionekana humo mtu maskini mwenye hekima,naye kwa hekima yake akaukoa mji ule, lakini hata hivyo hapakuwa na mtu yeyote aliyemkumbuka yule mtu maskini.
16-Ndipo niliposema,Bora hekima kuliko nguvu; walakini hekima ya maskini HUDHARAULIWA,wala maneno yake hayasikilizwi.
17-Maneno ya wenye hekima yanenwayo taratibu husikiwa, Zaidi ya mlio wake atawalae katikati ya WAPUMBAVU.
18-Hekima ndiyo bora kupita silaha za vita, lakini mkosaji mmoja huharibu mema mengi
NAKUTAKIA SABATO NJEMA,YENYE FURAHA, TAKATIFU NA MIBARAKA TELE MOYONI MWAKO
MUNGU WA MBINGUNI AWARINDE
I LOVE TANZANIA "ISHI NA MIMI"

Comments
Post a Comment