Posts

🔴#LIVE: 28/08/2021: IBADA YA SABATO: MAKAMBI MTAA WA KIKUYU

Image

MULUNGUSHI SDA CHOIR __NDOTO YA MFALME

Image

Jiulize maswali haya kama mpenzi ulie nae ni sahihi kwako.

Image
  Inabidi kwanza wewe uwe ni mtu ulie sahihi  ndio utakapopata mtu sahihi , huwezi kupata mtu sahihi ikiwa wewe sio sahihi, au unaweza kupata mtu sahihi lakini wewe ukawa sio sahihi. ina maana kwamba lazima kwanza wewe uwe ni mwenye kujipenda ndipo utapenda na wengine Pia ujifunze  kuwa mtu mkamilifu ili uje kupata mtu alie mkamilifu. kwa hio inabidi uwe na maswali mengi kabla hujaanza kuchukua maamuzi ya kutafuta mtu sahihi.Jiulize  , umekamilika au ni tamaa tu inakupeleka kutafuta mtu wa kukukampani.? kama nia yako ni kupata mapenzi  tu , basi hapo bado  hujakamilika, lazima uwe na kazi kubwa ya kufanya ndani ya moyo wako kabla unahitaji kupata kazi ya kujifunza  kujipenda , na kujifunza majukumu ya kupenda wengine, uwe na hisia za kujisikia mkamilifu na usalama  za namba moja, yaani kupata na kutoa. jiulize maswali yafuatayo. 1. Je ni mtu anyethubutu kujali, na ni mtu mwenye huruma na uelewa na mtu wa kukubalika na anakubali jinsi ulivyo. kukosekana kwa  uelewa  ni dalili ya moja kw

kwenye mahusiano kuna ya kuvumilia ila si haya

TCRA IMEKIFUNGIA WASAFI FM KWA MUDA WA SIKU SABA

WANDOTO WANGU!!!! MWANDISHI: MAKUMPILA THE DON.

  Kwa uzuri wako  na tabianzako zilizo nikosha nilikufanya mwanamke wa maisha yangu yote sikutizama nyuma tena nikaacha tamaa zote za dunia nikaamua kuishi nawe wala sikutamani wadada wengine wenye sifa na maumbo mazuri. Nikakupenda wewe cheusi wangu. Nikaapa mbele ya kanisa na binadamu kuwa we ndiye fungu langu mama wa wanangu mbeba thamani yangu, uliye nafasi yangu nikakufanya wa ndoto wangu. (UMENITENDA HAYA?) Naitwa Nelson tangu nikiwa mtoto mama alinionya sana kuhusu wanawake ikiwa nae ni mwanamke kama wao hao alionikanya, kuwa   hawaeleweki na hawajawahi jua kipi wanataka katika maisha kwani, ukimsifia unampata, ukimhudumia mahitaji yake unampata, ukimuowa masikini akikutana na tajiri basi hutomuona, ukiwa napesa usipo mridhisha kitandani atamtafuta hata muuza karanga ili tu akatimiziwe haja yake. Na huyo ndiye atakae muheshimu na kumtii sana kuliko wewe ulimuweka ndani. Nimepita katika ngazi zote za shule na sasa npo chuo kikuu lani hapa nchini, nikuchukua fakati ya uhasib