AMRI KUMI NA SITA (16) ILI KUVUNJA USABATO:
AMRI. Amri halisi kumi za MUNGU zinatoka katika kitabu cha kutoka 20:1-17.=kumb 5:1-21 MUNGU akanena maneno yote akasema, Mimi na BWANA Mungu wako,niliye kutoa katika nchi ya misri katika nyumba ya utuma:- 1. Usiwe na miungu mingine ila mimi 2. Usijifanyie sanamu ya kuchonga wala mfano wa kitu chichote kilicho juu mbinguni wala chini duniani wala kilicho majini chini ya dunia,usivisujudie wala wala kuvitumikia kwa kuwa mimi,BWANA, Mungu wako ni Mungu mwenye wivu nawapatiliza wana maovu ya baba zao hata kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukiao name nawarehemu wanamaelfu elfu wanipendao na kuzishika amri zangu. Hii amri kwao haipo na wameiondoa kabisaaa na kuifuta kwani wanatumia katikisimu takatifu, wala hawatumii amri zilizoko kataika biblia.kwa hakika ukiiondoa hii zinabaki tisa pekee. (Yatatu wameifanya ya pili na ya pili wameiondoa kabisaa haipo hata. 3. Usilitaje bure jina la BWAN